Tagged: upendo

Mwanamke mzinzi

  Tusiwe na urahisi wa kuwahukumu wengine, kwa sababu Mungu alitupenda sisi wote namna tulivyo,japo jirani ametenda maovu akakuumiza,usimhukumu, mpende tu.

Mwimo wa siku

Mwimo wa siku

Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia,kisha akamwona ndugu yake ni mhitaji,akamzuilia huruma zake,je! upendo wa mungu wakaaje ndani yake huyo?

Mwimo wa siku

Mwimo wa siku

Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.

UPENDO NA UNYENYEKEVU

Ni kwa nini kinga ni bora kuliko kutibu. Je, kuna mwongozo wowote katika neno la Mungu kwamba tusimwudhi ndugu? Ndiyo. Upendo na unyenyekevu hutusaidia...

Jicho kwa jicho au Jino kwa jino?

Watu hunukuu Biblia ili kutetea mtazamo wao wa kulipiza kisasi. Wakisema, “Biblia husema kuhusu kulipa ‘jicho kwa jicho, jino kwa jino’? (Mambo ya Walawi...

Editor Picks

Skip to toolbar