Tagged: Msamaha

KUREKEBISHA UHUSIANO ULIOHARIBIKA.

Ili kurekebisha uhusiano ulioharibika au kukatika, ina maana kwamba mlikuwa mmekosana na sasa kama wahusika wawili waliokosana hapo awali mmekubaliana kuwa marafiki tena na...

Shujaa(6)NJIA YA UKWELI

Umedhulumiwa na kukataliwa kwa sababu ya kubadili dini. Miaka imepita kadhaa bado una hayo makovu ya vidonda moyoni.Nawe unakiri kuwa kutokana na changamoto hizo,...

Mwanamke mzinzi

  Tusiwe na urahisi wa kuwahukumu wengine, kwa sababu Mungu alitupenda sisi wote namna tulivyo,japo jirani ametenda maovu akakuumiza,usimhukumu, mpende tu.

Chuki

Unaposikia neno msamaha bila shaka ,unakumbuka mambo mabaya uliyotendewa au hata uliyoyatenda wewe mwenyewe,na yanahitaji msamaha! Je babako anapokuumiza utamsamehea?

Kisasi kwa miaka thelathini.

      Unaweza kumuekea mamako hasira kwa zaidi ya miaka thelathini ,kwa uamuzi alioufanya kutengana na babako ambaye alimpiga na kutomjali?    ...

Kevin alimuua babake

        Utamuacha ndugu yako,ateseke gerezani maisha yake yote kwa kuumua baba yenu,kimakosa,japo ameomba msamaha?

Mariamu

http://youtu.be/ljdil7kddxk Unaposikia neno ubakaji au kubakwa inapotajwa huwa unafikiria nini? wapo wengi wamepitia hali hii inayoumiza na kutokubalika katika jamii, kitendo cha ubakaji, kama...

Tumaini

http://youtu.be/l_s5-0-GbCo Baada ya mamake Tumaini kufa kifo kilichosababishwa na babake,Tumaini aliamua kumsamehe babake,sikiza ushuhuda huu

Editor Picks

Skip to toolbar