Tagged: Kusamehe

Kuwasamehe wengine.

Ni wazi kwamba watu watashindwa kupatana na kuelewana kwa sababu mbalimbali. Kutokana na ubinadamu wetu kwa mawazo yetu tutatofautiana. Mara kwa mara hatuheshimu mawazo...

Uchungu na msamaha – Sehemu ya pili.

Baada ya kuangalia jinsi uchungu unavyoanza hadi kukua, sasa tuone jinsi gani unaweza kuushinda uchungu kabla haujaharibu uhusiano wako na majirani na marafiki wako....

Uchungu na msamaha

Uchungu ni kitu kinachoua mahusiano mengi iwe ni ya kifamilia,  kihuduma na hata kindoa. Uchungu unaondoa ukaribu baina ya watu na kujenga ukuta wa...

KUSAMEHE LICHA YA KUUMIZWA MOYO.

Jirani,rafiki au mpendwa wako anaweza kukuumiza moyo sana,mara nyingi mawazo ya kutosamehe,kulipiza kisasi au hata kujitoa uhai hutujia kutokana na uchungu na aibu inayotuzingira....

Editor Picks

Skip to toolbar