“Majilio”

Maana ya Krismasi

Msimu wa Krismasi umekaribia, kila mmoja ana mpango wa jinsi atakavyoisherehekea siku hii kubwa. Lakini maana halisi ya Krismasi ni nini? Tunaisherehekea jinsi Kristo apendavyo? Umepanga kuisherehekea na nani? La muhimu zaidi upo tayari kueneza Upendo wa Kristo msimu huu?

Kwa wale ambao wanapendeleza kusikiliza peke yake tumeweka audio hapa chini. Karibuni sana!

Majilio (4 of 4)

Skip to toolbar