MAHUSIANO

Mahusiano kati ya Mkristo na muislamu yako vipi? Kila mmoja anaheshimu dini ya mwenzake? na iwapo uhusiano wao si mzuri chanzo ni nini na tutazisuluhisha kivipi? kwa sababu sisi sote tumeumbwa na Mungu mmoja.

 

Skip to toolbar